Testo Zaidi - Jux
Testo della canzone Zaidi (Jux), tratta dall'album The Love Album
It's Bob Maneck
Na na na na
Na na na na
Na na na na
Na na na na
Zinanitoka goosebumps
Nikisikia jina lako
Mimi naweuka
Kabisa mi ni chizi wako
Na kama ni mganga eeh
Mzuri huyo mganga wako
Sio Kwa kunipumbaza huku
Baby mmmh
Mummy ongeza ubuyu
Nizidi kumumunya ee
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eee
Baby ongeza ubuyu
Nizidi kumumunya ee
Tena na sukari guru
Utamu nikitafuna eee
Kama ni pilipili maa(na na na na)
Acha ukali niusikie(na na na na)
Kama ni vita mama(na na na na)
Acha adui wanivamie(na na na na)
Kama we ni asali maa(na na na na)
Acha na nyuki wanivamie(na na na na)
Lakini penzi lako baby(na na na na)
Hata kidogo lisipungue(na na na na)
No no nooo
Zaidi zaidi zaidi zaidi(mmmh)
Nipe nipe
Zaidi zaidi (mmmh)
Wewe zaidi zaidi
Wewe nipe zaidi zaidi (Zaidi)
Haya yaya yaaah yaaah
Haya yaya haya yaya yaaah
Nanyosha mikono juu
Kwako mi ni me surrender
Naina maajabu
Sungura kazidiwa ujanja
Nimekuwa zuzu zuzu zuu
Nimekuwa bubu bubu bubu
Nimekuwa mbumbu mbu baiby
Nimekuwa zaidi ya nyumbu
Sioni sisikii(aah)
Sioni sisikii baiby
Kama ni pilipili maa(na na na na)
Acha ukali niusikie(na na na na)
Kama ni vita mama(na na na na)
Acha adui wanivamie(na na na na)
Kama we ni asali maa(na na na na)
Acha na nyuki wanivamie(na na na na)
Lakini penzi lako baby(na na na na)
Hata kidogo lisipungue(na na na na)
No no nooo
Zaidi zaidi zaidi zaidi(mmmh)
Nipe nipe
Zaidi zaidi (mmmh)
Wewe zaidi zaidi
Wewe nipe zaidi zaidi (Zaidi)
Credits
Writer(s): Walter Godfrey Chilambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.