Rockol30

Testo Tamu - Mac Voice feat. Rayvanny

Testo della canzone Tamu (Mac Voice feat. Rayvanny), tratta dall'album My Voice

Tamu, tamu (eyo trone)
Tamu, (Ayo Lizer), tamu
Sura tisi chocolate
Kidoti joketi katoto ni keki (eh)
Nitamwaga bajeti, nikape tiketi
Kunipeti peti (eh)
Eh ulivyojazia ukinisusia itanizidia, eh
Nang'ang'ania sitokuachia unanipatia, eh
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Sambusa kachori (ae), napenda macho Yako gololi (ae)
Nisharuka nikajoli,(ae), tucheze Kuchikuchi kwenye mapori (ae)
Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena, (tamu)
Oh! Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena, (tamu)
Ah! Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena, (tamu)
Oh! Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena, (tamu)
Chui!
Vanny Boy, no no no no no (mmh)
Alamba ta-mu tamu napenda ukita-basamu
Unavyonipa kwa mashamu mashamu
Hujaniita naka-mukamu (ie-eh)
Nitachuchumia na kuning'inia
Nimekupa nia yoh
Nitakusugulia ka steel wire
Na masufuria, yoh
Nikisimama we lala, (tamu tamu)
Nipe nguru sangara, (tamu tamu)
Ukikamata mnara, (tamu tamu)
Nitulize papara, (tamu tamu), (oh-oh)
Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za Mori
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za Mori
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi Kwenye mapori (mmh)
Alamba (ah-ah) (tamu)
Ah! Alamba(alamba hio)tеna (tamu)
Oh! Alamba (alamba tena)(tamu)
Ah! Alamba (alamba ie) tena (tamu)
Ah! alamba (tamu)
Ah! alamba tena, (tamu)
Oh! alamba (tamu)
Ah! alamba tena, (tamu)
Nimеshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi
Siwezi kukucheat, basi niamini ndo waasi
Mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, (milele)
Kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, (nilewe)
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori
Sambusa kachori, napenda macho yako gololi
Nisharuka nikajoli, tucheze kuchikuchi kwenye mapori (ae)
Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena, (tamu)
Oh! Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena, (tamu)
Ah! Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena (tamu)
Oh! Alamba (tamu)
Ah! Alamba tena (tamu)



Credits
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga, Mwakyusa Raymond Shaban
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.