Rockol30

Testo Mama Mwenye Nyumba - Mac Voice

Testo della canzone Mama Mwenye Nyumba (Mac Voice), tratta dall'album My Voice

Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
(Nazdaaa)
Mi najiuliza maswali nihame niende mbali
Kwa visa unavyo nifanyia mama (mama ehh)
Mi namla humu dalali ndo kaniletea shali
Mitego imenizidia jama (jamaa ee)
Ahh ah, kiti kipo akai akifua, akipika anainama
Mama kiboko (mama kobokoo eeeh)
Jana kani letea chai leo kaleta ubwabwa na nyama
Na kanga mokoo (na kanga moko eeh)
Anavyo nipa vishawishi mwishowe nashindwa jizuia
Yata nifika mazishi mumewe aki nifumania
Kasema amfikishi mzee ana tumbo la beer
Mama anataka mwichi yani kisu kikachane pazia
Aaah, niue nisiue? (Uwa!)
Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti
Nami nyumba ninamajukumu
Niue nisiue? (Uwa!)
Wasije kunivutia ndumbu,
Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
Nikimpa kodi anakataa anairudisha
Bill ya maji, bill ya umeme anazirudisha
Aah! Ah! Niki muamukia anakataa anajinunisha
Kweli n'gombe azeeki maini, anajibaebisha
Usiku nagonga milango anakuja tupu-tupu
Ananizuga samaki chambo tucheki movie za lufufu
Hajui nimetoka jando ananiforce mabusu
Nisije nikampa tango nikaishia kisutu
Nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwa
Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeah yeah
(Mama aeh)
Akaukagi kujipisha wivu ndo unamkasirisha
Oh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeeh yeah
(Mama aeh)
Aaah, niue nisiue? (Uwa!)
Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghesti
Nami nyumba ninamajukumu
Niue nisiue? (Uwa!)
Wasije kunivutia ndumbu
Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumba
Mama mwenye nyumba utaniua wee



Credits
Writer(s): Shabani Hamis Makaranga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Altre canzoni dell'album

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.