Testo Kitanzi - Willy Paul
Testo della canzone Kitanzi (Willy Paul), tratta dall'album Willy Paul Singles
Ooooh Willy, Willy, Willy Paul Tena
Na Gloria, Na Gloria
Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah
Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah
Mama, Mama, Mama, Mama, aaaah
Msaidizi Mama
Mama, Mama, Mama
Jolly We Mjolly, Tatizo kubwa ninalo mimi
Jolly we mjolly, tatizo kubwa ninalo mimi
(Ninalo mimi)
Tatizo gani hilo, yeye asiloliweza?
Tatizo gani hilo, yeye asiloliweza?
Naomba niskize, eh, Nipe sikio
Najitia kitanzi, najitia kitanzi
Nimechoshwa sana, ah, ah
Haina haja kitanzi, haina haja kulia
Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda
Haina haja kitanzi, haina haja kulia
Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda
Oooh bila huruma, msela nateseka na si utani
Oooh kudharauliwa, kudhulumiwa wanaojiweza
Oooh nifanye vipi mama? (ooh nifanye vipi?)
Hivi niende wapi mama? (ooh niende wapi?)
Why, why, why, why, why
Why, why, why, why, why me
Hebu sikiliza mwana, nikwambie
Mkamilifu hayuko, ila muumba
Tena yeye anafahamu vyema alivyokuumba
Usiogope, rudi mwana atakupokea
Laiti ungalijua, jinsi anavyokupenda, ah
Laiti ungalijua, yalivyo mengi aliyokuandalia ah
Najitia kitanzi, najitia kitanzi
Nimechoshwa sana, ah, ah
Haina haja kitanzi, haina haja kulia
Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda
Hivi Willy nina shaka
Shaka ya nini mwana?
Nahisi nimemkosea baba
Ni wa huruma wewe njoo
Kwa nini mama?
Atakurekebisha
Je, atanikubali?
Atanikubali? Nafsi yangu huu
Natamani Willy, kurudi kwake jalali
Kurudi kwake jalali
Lakini mami mi naogopa
Wataniwia radhi
Najitia kitanzi, najitia kitanzi
Nimechoshwa sana, ah, ah
Haina haja kitanzi, haina haja kulia
Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda
Haina haja kitanzi, haina haja kulia
Haina haja kufa moyo, Maulana bado anakupenda
Credits
Writer(s): Wilson Abubakar Radido
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.