Testo Sijafika - Willy Paul feat. Size8

Testo della canzone Sijafika (Willy Paul feat. Size8), tratta dall'album Willy Paul Hits

ulalalala
willy willy willy paul
namba nane nane size 8
kambua
gloria muliro tena
usinione narukaruka msela sijafika
usinione nacheza ngoma msela sijafika
usinione narukaruka dada sijafika
usinione nacheza ngoma dada sijafikaaa
usinone mimi kwenye sitolia sijafika
usinione mimi kwenye tamutamu sijafikaaaa
usinione narusharusha mateke sijafika
usinione nawashawasha moto(motoooo)sijafikaa
ooh sijafika sijafika sijafika
ooh sijafika sijafika sijafika
iyeee natafuta yesu maishani ooo
iye iye iye natafuta yesu maishani oo
iye ee natafuta yesu maishani oo
iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
uuh msela
eee ooo aaaah
oooo eee ooo aaaah
matime huwa nanung'unika nikipata chuki nami natafuta yesu wangu wa maishani
kweli kafanya nishikilie baba lakini bado
mimi kambua sijafika nahitaji uwepo wako
ndio maana usiku na mchana ntakupa sifaaa eee
(wapi gloria)
ilianza mwambie alesa ikafuata yesu iroma ikaja kibali na bado kasonga
tulipotoa sitolia mwana walidhani tumefika kumbe ilibidi tufollow follow you
nangojea matokeo yangu(bado nangoja matokeo)
hata baada ya mpango wa kando sijafika
tuma baba msaidizi kwangu na hata zaidi nataka nimwone yesu maishani mwangu
iyee natafuta yesu maishani ooo
iye iye iye natafuta yesu maishani oo
iyee ee natafuta yesu maishani oo
iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
uuh msela
eee oooh aaaah
oooh eee ooooh aaah
hatujafika hatujafika maana tuko safarini sote
hatujafika tuko safarini sote ee
hatujafikaaa hatujafika mama
hatujafikaa hatujafika eeeh
mmh willy paul ae kambua ae
size8 ae gloria ae hatujafika mama
aa eaa tuko safarini aah teddy b
iyeee natafuta yesu maishani ooo
iye iye iye natafuta yesu maishani ooo
iyee ee natafuta yesu maishani ooo
iye iye iye natafuta yesu maishani oo
uuh msela.
eeeh oooh ooh aaah
ooh oooh eeeh oooh aaah
-end-



Credits
Writer(s): Wilson Abubakar Radido
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Altre canzoni dell'album

Elenco artisti

© 2026 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.