Testo Wewe Ni Mungu - Essence of Worship
Testo della canzone Wewe Ni Mungu (Essence of Worship), tratta dall'album Shangilia
Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu
Jina lako ni Bwana
(Wewe ni Bwana wa Mabwana)
Unadumu na kutawala
Unastahili Unastahili
Bwana Bwana
Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu
Bwana Bwana
Unastahili Unastahili
Bwana Bwana
Uweza ni wako
Mamalaka ni yako
Bwana Bwana
Uweza ni wako
Mamalaka ni yako
Bwana Bwana
Unatawala milele
Bwana Bwana
Umejivika heshima
Bwana Bwana
Unatawala milele
Bwana Bwana
Umejivika heshima
Bwana Bwana
Credits
Writer(s): Essence Of Worship
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.