Rockol30

Testo Vumbi - Rayvanny feat. Diamond Platnumz

Testo della canzone Vumbi (Rayvanny feat. Diamond Platnumz), tratta dall'album Vumbi

Kimbunga hicho
Kimbunga hicho
Kimbunga hicho
Yani tunazoa ZOA
Mwaga jasho miguu iwake moto
(Timua Vumbi timua)
Kisigino kimegwe na ugoko
(Timua Vumbi timua)
Luka luka Tuziamshe popo
(Timua Vumbi timua)
Vua shati ukisikia joto
(Timua Vumbi timua)
Sa tunakisanua (Vumbi)
Tunawachafua (Vumbi)
Tunawapa mafua
(Vumbi vumbi timua vumbi)
Tunakata funua (vumbi) wakizingua (vumbi)
Tunawapa mafua (vumbi vumbi timua vumbi)
Wanatukimbiza wasafi eeh wapo makundi makundi
Lakini hawatupati eeh tunawaachia vumbi
Timua Vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua Vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua Vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua Vumbi timua
Timua vumbi timua
Ooooh
Ka mashine yakoboa mupunga
(Timua Vumbi timua)
Sunami changanya na kimbunga
(Timua Vumbi timua)
Gwaride la jeshi (timua)
Ka muchanga cement (timua)
Chana jamvi kapeti (timua timua Vumbi timua)
Leleeeelee
Timua muchanga
Kama unalicheza vanga
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga
Leleeeelee
Timua muchanga
Kama unalicheza vanga
Leleeeelee
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga
Asa kachili saga(saga saga)
Kamatia zaga (zaga zaga)
Jichukulie dagaa (dagaa dagaa)
Kinaga ubaga
Twende timua
Timua vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua Vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua vumbi timua
Timua Vumbi timua
Mwendo kama farasi
(Ohohooo tunawatimua timua)
Kasi kama risasi
(Ohohoo tunawatimua timua)
Tuko nduki kibati
(Ohohoo tunawatimua timua)
Hawatukamati
(Ohohoo tunawatimua timua)
Asa kitimue (timu timu)
Yani chimba (timu timu)
Fukua fukua (timu timu)
Chimba chimba(timu timu)
Eeeh vidole chepeo (timu timu)
Kiuno mpini(timu timu)
Fanya kama koleo (timu timu)
Ifukue kwa chini(timu timu)



Credits
Writer(s): Daniel Shekwoyemi, Nnaemeka Okorie, Abdul Nasibu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.