Testo Tunaleta Sifa - Essence of Worship
Testo della canzone Tunaleta Sifa (Essence of Worship), tratta dall'album Shangilia
Wewe ni Mungu
Hakuna mwingine wa kuabudiwa
Unastahili sifa zote
Wewe ni Bwana aah
Tunaleta sifa zetu kwako
Maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
Tunaleta sifa zetu kwako
Maana wewe ndiwe Mungu mkuu
Tunaleta sifa zetu kwako Bwana
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Kazi yako ya msalaba
Yanifanya kuwa salama
Usifwe Yahweh
Upendo wako wa milele
Umenifanya niendelee
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Usifiwe Yahweh
Halleluyah Yahweh
Halleluyah Yahweh
Credits
Writer(s): Essence Of Worship
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.