Rockol30

Testo Show me - Harmonize

Testo della canzone Show me (Harmonize), tratta dall'album Show me

Haa! Kumekucha masela
Hebu chembezeni stick
Manaake mziki hauna hela
Ila hela kuiopata mziki
Sifichi ambao hawapendi wanakoma
Hasa ndo naua band maana natoboa kila ngoma
Wananisoma ngoma bomba kwa "touch"
Waloniambia nile kone nkaambia wale penalty
Toka jiji la samaki mama alipo nipa siri
Kuwa biashara faster hakuna mwanaharakati tajiri...
Pili watu waajabu sana ila me na adhabu sana
Mabeste, hapo nilikusoma mwana wasanii wanaloga sana
Ndo maana mipete (wote chechee)
Wote tunampenda Mungu
Maana mpaji hapingiki
Sa vipi anakupa hi huku akisema Mungu akubariki
Siwezi kushiriki kwenye dhambi yako,
Ili ukatwe mikono kisha ule kwa macho
Nisipo vuja jasho alokuwa nyuma yangu atakula wapi
Hapo ndo naamini kuwa wenye huruma hanaga bahati
Huu ndo uwezo binafsi vijana m-relaxy,
Nakuomba usimtusi baba kama ujui utakula wapi
Na hadithi za sungura me sitaki ehe!
Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki
Naukisikia nauza sura juu ya laki
Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi
Usichoke we kunja, kunja ukunjavyo,
Me ntatusua hizi juhudi sio ndomba akisha,
Panga apangayo uwezi pangua
Asa temeke na ilala ah! ah! (unaionaje) yeah!
Hadi manzese, mabagala ah! ah! (unaionaje) yeah!
Unaionaje
Haa! Chuki huletwa na wivu na kushushiana hadhi
Na rafiki ndo atakae kuharibia kazi
Atakupindishia michongo na kukuvunjia nazi
Bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi
Ila sisi kazi kazi wengine tumetoka kwenye msoto
Kuoga mpaka tushikwe viboko
Naona umeandaa mkaa arufu hauna kiberiti we mtoto
Chokoza wana wakuwashie moto
Hebu nipite kushoto maana unanichukia
Hata unisaidii unanitukana hata sifatilii sizimi chuku
Maana mwisho kuroga wisho unakuwa
Mchawi kwa maana utamu kunoga
Unaogopa nini toba we binti acha uoga
Mbona unakula beer arufu nguvu niza soda
Sura hashiki poda unasifiwa na mawaki
Kisha unaota mabembe utazani umekula nyati



Credits
Writer(s): Rajabu Kahali, Siraju Amani, Richard Mavoko
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.