Rockol30

Testo Nita Amini - Israel Mbonyi

Testo della canzone Nita Amini (Israel Mbonyi), tratta dall'album NITA AMINI

Sasa naapa hakuna miungu nta amini
Sitajitia unajisi, chakula cha ufalme
Na sitauza urithi wa wokovu, anasa za kisasa
Nina uhakika waweza, waweza kuniponya
Hata usipo niponya sitaabudu masanamu
Naelewa maji na moto nitapita, kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono
Wautuliza moyo wangu
Si na mashaka wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima libadilishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote bado nita amini
Wameza tuma neno la uzima libadilishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote bado nita amini
Sasa naapa hakuna miungu nta amini
Sitajitia unajisi, chakula cha ufalme
Na sitauza urithi wa wokovu anasa za kisasa
Nina uhakika waweza, waweza kuniponya
Hata usipo niponya sitaabudu masanamu
Naelewa maji na moto nitapita kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono
Wautuliza moyo wangu
Si na mashaka wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima libadilishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote bado nita amini
Wameza tuma neno la uzima, libadilishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote bado nita amini
Si Mara y'a kwanza kunitowa katika magumu
Ni na ushuhuda zaidi ya moja we ni mwaminifu
Ni na historia maalum we ni chemchemi ya uzima

Nita amini, bado nita amini
Ulichosema anami, nita amini
Wewe ukiya jibu maombi yangu, nita kwaamini
Hata usinijibu Yesu we, nita kwaamini yo
Nita amini, bado nita amini
Ukiniponya nita amini
Hata usiniponye bado nita amini
Ukinijibu nita amini
Hata usinijibu bado nita amini
Ukibidalisha nita amini
Hata usibadilishe bado nita amini
Kwenye uvuli wa mauti bado nita amini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nita amini, bado nita amini ukiniponya nita amini
Hata usiniponye bado nita amini, ukiyajibu nita amini
Hata usinijibu bado nita amini
Kwenye uvuli wa mauti bado nita amini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Kwenye uvuli wa mauti bado nita amini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nita Amini
Nita Amini
Nita Amini
Nita Amini
Nita Amini
Nita Amini
Nita Amini

Credits
Writer(s): Israel Mbonyi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.