Rockol30

Testo Nagharamia - Christian Bella feat. Alikiba

Testo della canzone Nagharamia (Christian Bella feat. Alikiba), tratta dall'album Nagharamia

Maa-aah (Yeah!)
Ma eh, ma-ah iyee
Ukimwona
Kapendeza
Si utafikiri katokea mbinguni
Ni mtoto mkali
Kaumbika mama (mama eeh)
Nahisi kama nishawahi kumuona
Kafanana na nani?
Kwani ni nani?
Demu fulani
Kama namjua
Kafanana na nani?
Kwani ni nani iyee
Demu fulani
Kama namjua
Kiba we we we we (yeyeye iyee)
Ali we yeyeyeye (iyee, kama namjua)
Kiba we we we wee unamjua huyu demu
De-de-de-demu, de-de-de-demu deeh
Iye-ye-ye-ye (iye)
Iye-ye-ye-ye (iye)
Iye-ye-ye-ye (iye) iyee iye
Iye-ye-ye-yeee
Iyee yooh iye ooh-oooh
Namuona tu
Kasura kazuri
Ni binti fulani ye
Marashi mazuli na gari kali eh
Ni kweli
Amependezaa
Kama ni hurulaini
Mimi ni demu wangu huyo
(Ninagharamia)
Kweli ampendezaa
Hurulaini iyee
Demu wangu wewe
(Ninagharamia)
Bella we-we-we-we ooh (iyee)
Kwani vipi we-wee
(Ninagharamia)
Bella we-we-we-we unamjua huyu dem
(De-de-de-dem)
(De-de-de-dem)
Oh no no nashindwa kuvumilia
Huyu mtoto kanipagawisha
Kila nikikutana naye
Moyo wangu una dunda dunda
Nataka tu kujuana naye
Awe kama rafiki wangu
Labda moyo wangu itatulia tuliiia
Bella siachi raha kwa ubishi
Na mvumilivu hula mbivu ooh
Nishamaliza ngombe nzima
Kabaki mkia huyo
Oh ma' azali
Ma' azalii
Ma' azali mwa si kitoko
Myifo balula ye
Oya zali na bote naye
Azali mwa si kitoko (kuteka na ngai ye)
Meifo balula yeye (mwasi na ngai ye)
Oye zali na mutema yeye (na lingio lingio)
Ngana sengi tobina mama
Katee, katee (kate)
Katika kata (kata)
Kate katee (yako kata loketo mama)
Yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka)
Katee katee (kate)
Katika kata (Kate)
Kate katee (yako kata loketo)
Yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka)
Katee katee (kate)
Katika kata (kata)
Kate katee (yako kata loketo mama)
Yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka)
Katee katee (kate)
Katika kata (kate)
Kate katee (yako kata loketo)
Yaka katika, yaka katika
(Yaka tobina mabina mboka)
Aah-aah
Mabina mboka
Yako kata loketo
Mama ah-ahh
Iye iye iye iye (iye)
Iye-yoo-ooh
Iye-oh-ooh



Credits
Writer(s): Christian Bella, Ali Saleh Kiba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.