Testo Mkono Wa Bwana - Zabron Singers

Testo della canzone Mkono Wa Bwana (Zabron Singers), tratta dall'album Mkono Wa Bwana

Mmmmmmm ah ah ah ah
Tumeuona mkono wake bwana
Mengi mazuri tumeyaona
Mungu umetenda
Ni kweli we muweza
Ulitamka vitu vikawa
Neno tu latosha
Ukisema umetenda
Bahari shamu Isiraeli
Ah uliwavusha
Ukawatoa utumwani
Watumishi wako umewapa
Yote waombayo
Ikiwa umependezwa
Uamulo hakuna wa kulipinga
Hakika we ni Mungu (wa vyote)
Unatawala dunia na vilivyomo
Makuu umeyatenda (Jehova)
Hakika tumeona
Tumeuona (ona baba) mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
(Na umetutoa) Umetutoa mbali
(Mnali kweli) Ukatushika mkono
(Ooh mungu) Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini chini chini)
Chini hata juu (chini yao watu)
Watu unawainua
(Ooh mungu) Sifa na utukufu ni zako milele
(Natutakusifu)
Twasifu jina lako (Jina lako baba)
Milele tutakusifu (ooh kweli)
Daima we umwema tutaishi kwako (aaah tumeona)
Tumeuona (Ona baba)
Mkono wako Bwana (Bwana kweli)
Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa)
Umetutoa mbali (Mbali kweli)
Ukatushika mkono (ooh mungu)
Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini)
Chini hata juu (chini hao watu)
Watu unawainua (Oooh mungu)
Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu)
Twasifu jina lako (Jina lako baba)
Milele tutakusifu (Oooh kweli)
Daima we umwema tutaishi kwako
Ona Ona Ona
Ona Ona Ona Ona
Msalabani ulitufia
Hm ulitupenda
Dhambi zetu ukabeba
Baraka zako tuliziomba kweli tumeona
Hakika unabariki
Oh hata vipaji we ndo hutoa
Umetuwezesha
Tunaimba na kusifu
Walio haki hutowaacha
Uliwaahidi
Hata mwisho wa dahari
Hm watu wako umewapa mamlaka
Kwa jina lako Yesu
Waponye
Na huna ubaguzi
Wote ni sawa kwako
Umetuita Yesu (tupone Hakika we ni mwema)
Tumeuona (Ona baba)
Mkono wako Bwana (ona kweli)
Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa)
Umetutoa mbali
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini)
Chini hata juu (chini yao watu)
Watu unawainua (ooh unawainua)
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako (jina lako baba)
Milele tutakusifu (Ooh kweli)
Daima we umwema tutaishi kwako (Aaah tumeona)
Tumeuona (Ona baba) mkono wako Bwana (ooh kweli)
Matendo yako Bwana ni makuu mno (Na umetutoa)
Umetutoa mbali (Mbali kweli)
Ukatushika mkono (Oooh mungu)
Mahali uliona pekee hatuwezi (Chini chini chini chini)
Chini hata juu (chini hao watu)
Watu unawainua (Oooh mungu)
Sifa na utukufu ni zako milele (Na tutakusifu)
Twasifu jina lako (Jina lako baba)
Milele tutakusifu (Oooh kweli)
Daima we umwema tutaishi kwako
(Ona Ona) Ona (Ona Ona) Ona
Daima we umwema tutaishi kwako (Ona)
Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona)
Daima we umwema tutaishi kwako
Ona Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona)
Daima we umwema tutaishi kwako
Ona (Ona Ona) Ona (Ona Ona)
Daima we umwema tutaishi kwako



Credits
Writer(s): Zabron Singers
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2026 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.