Testo Matapeli - Jaguar

Testo della canzone Matapeli (Jaguar), tratta dall'album Kioo

Eeeh, namshukuru mola kwa kunipa hewa na dunia bore,
kama lunge likuwa no binadamu angenikatia hewa kitambo,
ona tulio wachagua wanatuchezea kama marioneti
hakuna anaye tujali, wamekuwa watu wapesa,
bei ya unga inapanda wakati mahindi inaoza kwa Shamba,
Eeeh, maziwa inaganda wakati kwa duka bei inapanda,
maskini ata zidi kuwa maskini naye tajiri atajirike zaidi 2,
nawapigia makofi eh, makofi eh makofi eeh,
ni matapeli matapeli ni shajua hawatujali,
nawapigia makofi eh makofi eh makofi eeh,
hawachoki kutuchezea ni shajua hawatujali,
eh eeh eh eeh eeeh,
eh eeh eh eeh,
wanatengeneza barabara eti watupe usafiri Bora,
mafuta nayo hayanunuliki, maskini kasafiria wapi,
wanafanya campaign za malaria tukidhania wanatujali eeh,
nakumbe nia yao nikutuuzia mosquito net,
madaktari wanagoma wanaongezewa mishahara yao na wanaburudika dhidi hakuna dawa za wagonjwa,
maskini ata zidi Kuwa maskini naye tajiri atajirike zaidi 2,
nawapigia makofi eh makofi eh, makofi eeh,
ni matapeli matapeli ni shajua hawatujali
nawapigia makofi eh, makofi eh, makofi eeh
hawachoki kutuchezea ni shajua hawatujali,
eh eeh eh eeh2
eh, eh eeh eh eeh eh, eh eeh eh,
ni Mimi tu na wewe
ni mimi tu na wewe,
ni mimi tu na wewe,
tunaweza badilisha
ni mimi tu na wewe
ni mimi tu na wewe
ni mimi tu na wewe
tunaweza badilisha
ni mimi tu na wewe
ni mimi tu na wewe
ni mimi tu na wewe
tunaweza badilisha
the End



Credits
Writer(s): Charles Njagua Kanyi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2026 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.