Testo Malaika - Boney M.
Testo della canzone Malaika (Boney M.), tratta dall'album Boonoonoonoos
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Pesaa! Zasumbua roho yangu
Pesaa! Zasumbua roho yangu
Ningekuoa mali wee!
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina wee!
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee!
Ningekuoa malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Wimbo wimbo wimbo
Wimbo wimbo wimbo
Wimbo wimbo wimbo
Wimbo wimbo wimbo
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Credits
Writer(s): Guenther Widemair, Traditional
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.
Altre canzoni dell'album
Ultimi articoli
Addio a Frank Farian, creatore di Boney M e Milli Vanilli
(23/01/2024)
Boney M, Bobby Farrell morto per attacco cardiaco
(05/01/2011)
È morto Bobby Farrell, leader del gruppo Boney M. Portò al successo `Daddy cool´
(30/12/2010)
Londra, arriva il musical 'Daddy cool' sui Boney M
(02/12/2005)
Tornano i Boney M: ripubblicato ‘Daddy Cool’
(29/10/2001)
Boney M, rissa col pubblico a Saragozza
(18/10/1999)