Rockol30

Testo Magufuli - Harmonize

Testo della canzone Magufuli (Harmonize), tratta dall'album Magufuli - Single

Mmmmh
I wish ningemwona Magufuli, nipige magoti
Nimpongeze hadharani
Yaani
Rais wa muungano wa Jamhuri, mchapakazi hachoki
Anaye pinga nani?
Mmmh
Ametuvusha vikwazo
Wewe nami, ona nchi anavyoijenga
Flyover sa tunazo, daraja kigamboni
Airport imesha jengwa
Acha nikupongeze kwa Air Tanzania (iyelewe)
Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (iyelewe)
Standard gauge tuteleze, kusafiri unasinzia (iyelewe)
Acheni tu niwaeleze, Magufuli papa nia (iyelewe)
Oooh, dady
Magufuli cheza nikuone (kwangwaru)
Wasopenda wabane choo (kwangwaru)
Magu muacheni (kwangwaru)
Oooh, daddy
Asa cheza nikuone (kwangwaru)
Jembe toka chato (kwangwaru)
Magufuli ndo Rais wa wanyonge (kwangwaru)
Aga, mpole mtu wa dini
Hajachoka, tunashukuru
Amesamehe mara sabini
Papi Kocha sa yuko huru
Wa-Tanzania tupewe nini?
Vilokufa yeye kavifufua
Karudisha nidhamu serekalini
Ukileta njanja anatumbua, eh
Sekta ya madini, umeme, maji, kero zimepungua (asa wee)
Elimu bure vijijini, watoto shule wanabukua (asa wee)
Ifikapo elfu mbili na ishirini, kura yangu chukua (asa wee)
Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (asa wee)
Dar es Salaam mwendo kasi, vituo vya afya kila kata (iyelewe)
Machinga tunachapa kazi, tena huru bila shaka (iyelewe)
Borigi utani ameongeza, uchumi uweze panda (iyelewe)
Serekali Dodoma inapendeza, Tanzania ya viwanda (iyelewe)
Oooh, dady
Magufuli cheza nikuone (kwangwaru)
Wasopenda wabane choo (kwangwaru)
Magu muacheni (kwangwaru)
Oooh, daddy
Asa cheza nikuone (kwangwaru)
Jembe toka chato (kwangwaru)
Magufuli ndo Rais wa wanyonge (kwangwaru)
Asa wote wa Tanzania, tusimame imara (imara, imara)
Yaani wote Tanzania (imara, Tanzania tusonge mbele)
Ah, John Pombe Magufuli, simama imara (imara, imara)
Yaani wote tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele)
Oooh, mama Samia Suluhu, basi simama imara (imara, imara)
Kwa pamoja tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele)
Baba Kassim Majaliwa, simama imara (imara, imara)
Kwa pamoja tusonge mbele (imara, Tanzania tusonge mbele)
Wasafi Records



Credits
Writer(s): Rajab Kahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.