Testo Lay Low - clinchroyal
Testo della canzone Lay Low (clinchroyal), tratta dall'album Number Mbili
Nalay low adi iyo siku ifike
Gods Timing
Adi iyo siku ifike
Nalay low adi iyo siku ifike
Gods Timing
Adi iyo siku ifike
Kwa Mneti nawaona wakichachisha
Wakifloss
Nawaona wakichachisha
Kwa Mneti nawaona wakichachisha
Wakifloss
Nawaona wakichachisha
Awajui radar yangu
Wanadai me uingia nikitoka
Naturn magrams to Bands
Soon nitafika SA nishike marands
Most of the time me ushinda alone
Introvert am a loner
Maryjane by my side me ni stoner
Usiwai question hii ability mbona
Nimetoka far from standing on the block
Hopeless na mangwai kwa socks
Money is the conversation
Nadelivery kwa mapunk
Wanashinda wakirudi
Hii Mali ni safi
Situmii kiberiti gas nawasha na lighter
No chitchat nakuona ukichachisha
Niko made by his likeness
Courageous
Number mbili Kama venus
Siko apa kuplay
Hakuna kulazy around
Nimekujia izo ganji adi mapound
Me ndo diamond kwa dirt sijaget found
Nalay low adi iyo siku ifike
Gods Timing
Adi iyo siku ifike
Nalay low adi iyo siku ifike
Gods Timing
Adi iyo siku ifike
Kwa Mneti nawaona wakichachisha
Wakifloss
Nawaona wakichachisha
Kwa Mneti nawaona wakichachisha
Wakifloss
Nawaona wakichachisha
Yoh broh unacheki awa wasee wanafloss na mambling
Pale ig kwa mangoma wakising
Cc tuko mtaa tunadai izo matings
Tutamstock alaf joh tupull up
Ako na bands pia ako na commas
Tuchore vile Tutamkoma
Tukimtoka tunashika ki stock
Ju ya Protection tutakwachu pia Glock
Cheki iyo mlango Kuna msee ananock
Tei ni kibao usiogope piga chock
My product is dope
Niliacha kuworry kuogopa macops
This is the life I chose I cant stop
Siko hood lakini mali iko kwa block
Skia hii sound
Sifai kuwa underground
Nafaa kuwa crowned
Nishawin kwa hii battle ground
Yeah
Nalay low adi iyo siku ifike
Gods Timing
Adi iyo siku ifike
Nalay low adi iyo siku ifike
Gods Timing
Adi iyo siku ifike
Kwa Mneti nawaona wakichachisha
Wakifloss
Nawaona wakichachisha
Kwa Mneti nawaona wakichachisha
Wakifloss
Nawaona wakichachisha
Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.