Testo Kupenda - Mbosso
Testo della canzone Kupenda (Mbosso), tratta dall'album Kupenda
Ayo Lizer
Nilibisha nilibisha
Mama alipo nambia
Ukipenda jeuri kwisha
Leo nayashuhudia
Hayapiti madakika
Simu sijampigia
Yani sili kupitisha
Sauti nisipomsikia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Oneni ona, macho tukitazamana
Ubaridi homa, aibu tumezidiana
Oneni ona, macho tukitazamana
Ubaridi homa,aibu tumezidiana
Kwako kijumbe fanani, itangazie hadhira
Chuma changu kipo ndani, nakinusuru madhira
Nyie wa barabarani, waendesha katapira
Hii derby ya watani, haina kutoka bila
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugulia
Aaaah kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu uchizi naugua
Wanipanda wazimu, wanipanda (kama kupenda, ndo huaga hivi)
Mi mwenzenu, hali yangu mbaya (mi mwenzenu uchizi naugulia)
Credits
Writer(s): Siraju Amani, Mbwana Kilungi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.