Rockol30

Testo Kipenda Roho - Remmy Ongala feat. Orchestre Super Matimila

Testo della canzone Kipenda Roho (Remmy Ongala feat. Orchestre Super Matimila), tratta dall'album Songs for the Poor Man

kipenda roho, kipenda roho...
kipenda roho, kipenda roho hula nyama mbichi
kipenda roho haoni wala hasikii
akipenda anapenda oh
akipenda hasikii
kipenda roho, kipenda roho...
eeh ni ya nini wee mgugu
wala penzi ya nini wee mnyama
jamaa kimajini wanazaana oh
kunguru ukiona jioni wanapita kwa wingi wanafunga ndoa eeh
kipenda roho, kipenda roho...
eeh ni ya nini ubaguzi
eeh ni ya ni na ubaguzi
eeh mi ningalikuwa na ubaguzi
jinsi wabaya ungelia oh
sisi wabaya tulipata kitu
sisi ni wee na hatungesema tena eh
lakini penzi halina ubaguzi
mbele mapenzi kiwete anatembea
mbele mapenzi kiwete anapakatwa
alafu 'tashikwa na mshangazo
kiwete ana mtoto
alafu 'tashikwa na bumbuwazi
kichaa ana mimba eeh
amepata mshikaji wake
kipenda roho, kipenda roho
kipenda roho, kipenda roho...
eeh nyi wakula pole
eeh nyi wanijali umeokoka
wee unasema umeokoka eeh
kwanza una mke na watoto
wale watoto umewazaazaa vipi baba
na mama watoto usipo na...
kipenda roho, kipenda roho...
jamani siku hizi mapenzi yameogopewa eeh
ukimwi umeota mizizi kwa mapenzi
kutomboza tunaogopa
hata kupenda tunaogopa
ukimwi umeota mizizi
siku hizi hakuna tena mapenzi
siku hizi mapenzi yamekufa eeh
mama yako aliolewa na mapangala
lakini wasichana wa Dar Salaama eeh
wanataka pesa
kipenda roho, kipenda roho



Credits
Writer(s): Remmy Ongala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.