Rockol30

Testo Jah Live - Luciano

Testo della canzone Jah Live (Luciano), tratta dall'album Jah Is My Navigator

Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe,
MI nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe,
MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,
Uwepo wako karibu vp unafanya ni yumbe,
Kila muda kwene friji unajipoza,
MI domo zege nikisha kutumia natongoza,
Nalewa usiku kucha jua lina chomoza,
Nasindikiza na supu asuhi njema unaniongoza,
We ni nani unaiyendesha hi akili,
Nnikiwa na mawazo unanitoa stress nisifikili,
Ukiwa mezan chupa kadhaa sijiwezi,
Mpaka mtaani washa nipa jina jingine la mlevi,
Unafanya nafubaa mi mwenzako,
Hadi kazini naiba chapaa nije kwako,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako.
VERS 2;
Unafanya ndoa nyingi zinavunjika,
Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika,
Aukatai kila mteja anae kuarika,
Unafurahi na ubaridi wa maji una chilizika,
Likitokea tatizo we ndo kimbilio,
Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio,
Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio,
We ni funda la ziada unaniumbua mi mwenzio,
Unarainisha koo kifikla unani bembeleza,
Unani kontro sijasoma naongea hadi kingereza,
Usha niweza nani aliye kutengeneza,
Na nini aliwaza nawe ni mbaya kwa wasio jiweza,
Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha,
Najikojolea unani athiri na ninatoa cha paa,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini chanzo ni chako.
VERS 3;
Dear gambe unanichanganya sana,
Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama,
Nashangaa, mengine yanatia kinyaa,
Mfano mzuri nigongo chimpumu hata cha ng"aa,
Kwenye ubongo umetawala kila secta,
Niukweri siwezi kua nawe bila pesa,
Watu wengine wana kula ada kisa wewe.
Unawafanya wanasahau ibada,
Na juzi juzi tu nimepata khabari,
Kuna mwana ulikua nae ameshapata ajaLI,
Dear gambe nikweli unanichosha,
Napenda kua nawe ila nyumbani mboga wanakosa,
Nawaza jinsi gani ntakuacha,
Mpaka wazalendo wa dini bahadhi kwako wame data,
Hakuna utata poa sasa najikata,
Kapuku nikizipata ntakufata...



Credits
Writer(s): Lee Perry, Bob Marley
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.