Rockol30

Testo I Miss You - Harmonize

Testo della canzone I Miss You (Harmonize), tratta dall'album Made For Us

B boy on the beat
Mmmmh mmmh
Mmmh yeah
Mikono juu nasurender
Acha dunia ijue muhuni amependa
Wangapi walikuja wakaenda
Mbona ni wewe eeeh
Mwenzako nahesabu kalenda
Siku na masaa yanakwenda
Hebu fanya urudi nakupenda
Basi nielewe eeeh
Kitaniumbua kifo kifo
Nikiyaficha maradhi
Sikujua before before
Kumpata unaempenda ndo kazi
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia
Pengine labda utakasikia
Ishara tosha kuwa najutia
Fanya unisamehe ni mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria
Mazito tuloyapitia
Yanayofanya hutaki hutaki hata nisikia
Bado unahisi ni kama jana
Hakuna alie kamilika
Hata unaemdhani malaika bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado hijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite shehe na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Oh baby
I miss you
I miss you
I miss you
I miss you
Kweli mapenzi hayana ujanja
Hayajaligi jina wala mkwanja
Yani nimepita kila kiwanja
Ila nimenasa kwa mtoto wa masanja
We ni mtu wa mungu tena mlokole
Ya nini app ya mange
Wapiga majungu wakina lokole
Wanaopakaza me nakula bange
Nimeanguka nimemekosa
Tena niko radhi kutoa posa
Basi fanya urudi malikia
Uje tuanze tulipoishia eh eh
Waambia mashoga zako si kwa ubaya
Ila me sipendagi kuongea
Unamsemaje mwenzako bangi mbaya
Kama hujawahi hata mgongea
Hakuna alie kamilika
Hata unaemdhani malaika bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado hijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite shehe na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Oh baby
I miss you
I miss you
I miss you
I miss you
Of course b boy on the beat
Konde boy call me number one
Bakhresa aah
It is what it is baby I want yo come back
It is what it is baby I want you to come back
Come back my baby



Credits
Writer(s): Peter Hoppe, Kathrina Maerz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.