Testo I Love You, Pt. 2 - Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro
Testo della canzone I Love You, Pt. 2 (Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro), tratta dall'album I Love You
Siku tuliyoingojea mimi na wewe
Kwa uwezo wake Mungu leo imefika
Popote uendapo tutakuwa pamoja
Mungu ametuunganisha mimi nawe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Mungu ametuunganisha mimi na wewe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Kwa maombezi yake mama yetu Maria
Ahadi yetu sasa kweli imetimia
Popote uendapo tutakuwa pamoja
Mungu ametuunganisha mimi nawe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Mungu ametuunganisha mimi na wewe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Chaguo la moyo wangu mimi nakupenda
Tulizo la moyo wangu njoo karibu yangu
Popote uendapo tutakuwa pamoja
Mungu ametuunganisha mimi nawe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Mungu ametuunganisha mimi na wewe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I live you mpenzi wangu
I need you sikuzote (I love you)
Nimekuchagua wewe wangu wa maisha
Agizo la moyo wangu njoo tujitulize
Popote uendapo tutakuwa pamoja
Mungu ametuunganisha mimi nawe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Mungu ametuunganisha mimi na wewe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Mpenzi wangu nakupenda nawe unipende
Kwa penzi la raha na karaha tupendane
Popote uendapo tutakuwa pamoja
Mungu ametuunganisha mimi nawe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Mungu ametuunganisha mimi na wewe
Nasi wawili tena ni mwili mmoja
Wewe ni wangu kweli, na mimi ni wako njoo
I love you mpenzi wangu
I need you siku zote (I love you)
Credits
Writer(s): Kwaya Ya Mt Theresia Matogoro
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.