Testo Hakuna Usiloweza - Essence of Worship
Testo della canzone Hakuna Usiloweza (Essence of Worship), tratta dall'album Hakuna Usiloweza - EP
Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza
Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza
Wewe ni Mungu wakuabudiwa
Milele yote wewe ni kiongozi
Uliwavusha wanaisraeli
Bahari ya shamu kwa uwezi wako
Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako
Wanazivua taji zao mbele zako wakisema
Niwewe wastahili heshima
Lazima tuimbe tulisifu jina lako
Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza
Hakuna hakuna hakuna
Hakuna usiloweza
Hakuna usiloweza Yesu
Hakuna usiloweza Yesu
Hakuna usiloweza Yesu
Credits
Writer(s): Essence Of Worship
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.