Testo Baila - Diamond Platnumz feat. Miri Ben-Ari
Testo della canzone Baila (Diamond Platnumz feat. Miri Ben-Ari), tratta dall'album A Boy From Tandale
(Ayo Lizer)
Hmm, kama unanipenda sana
Umarufu weka mbali
Lile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama
Pigiwa simu na Tale
Eti Insta' natukanwa?
Umeshanzisha kware
Apo mi, moyo wangu
Mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu, nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu, hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wangu, ndo maana nasisitiza usije na wewe
Baila, baila, baila
Baila, baila, baila
Baila, baila, baila
Baila mama
Baila, baila, baila
Baila, baila, baila
Baila, baila, baila
Baila mama
Hmm
Ah, muziki vita, hawataki niendele
Hivyo ukipata nafasi, tafadhali niombe
Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoe
Itaniumiza nafsi, ikifika musionge
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao, tahadhari sana
Siunajua wanamuziki vitabia vyao, wamejawa tamaa
Ah, na dada zangu, mawifi chunga nyendo zao, usipelekwe mrama
Wakikumbia kaniki mara chota nyayo
Jua mumeo nakwama (ah-ah)
Utamu wa bigiji nikutafuna, usimeze uroda
Ongeza tu bidii kunikuna, sio kuniroga
Kunikomba zaidii, pika nguna ntaleta mbogaa
Kunipenda ka hivi
Kwetu suna, shushie na soda
Kwani moyo wangu, mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu, nateseka sana naempenda akinidharau
Moyo wangu, hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wangu, ndo maana nasisitiza usije na wewe
Baila, baila, baila (oh, bailando)
Baila, baila, baila (baila kipenzi)
Baila, baila, baila (eh)
Baila mama (bailando)
Baila, baila, baila (baila kitu)
Baila, baila, baila (baila, mi, oh)
Baila, baila, baila (eh)
Baila mama (bailando)
(Wasafi) hmm, usiseme you love me then you're lying
Usiseme you love me then you lie
Usiseme you love me then you're lying, hmm
Usiseme you love me then you lie
Baila, baila, baila
Baila, baila, baila
Baila, baila, baila
Baila mama
Baila, baila, baila (oh, baila)
Baila, baila, baila (baila kipenzi)
Baila, baila, baila
Baila mama
(Obrigado)
Credits
Writer(s): Miri Ben-ari, Nasibu Abdul Juma Issaack
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.