Testo Baila - Diamond Platnumz feat. Miri Ben-Ari
Testo della canzone Baila (Diamond Platnumz feat. Miri Ben-Ari), tratta dall'album Simba
Mhh, kama unanipenda sana, umaarufu weka mbali eh
Na ile nyumba ni ya mama, ivyo usiwaze ma-darling
Isiwe kesho ma-drama, pigiwa simu na Tale
Eti insta natukanwa, umeshaanzisha parin'
Moyo wangu mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu nateseka sana nnaempenda akinidharau
Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu, ndio nasisitiza usije na wewe...
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Ah muziki vita, hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi tafadhari uniombee
Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoee
Itaniumiza nafsi, ikifika msiongee
Na mashemeje kwa ofisi unapocheka nao jitaadhari sana
Si unajua wanamziki vitabia vyao wamejaa tamaa
Na dada zangu mawifi chunga nyendo zao usipinde kwa mama
Wakikwambia kaniki mara chota nyao ujue mumeo na kwama
Utamu ukizidi nikutafuna usimeze Rhoda
Ongeza tu bidii kunikuna sio kuniroga
Kunikoma zaidi pika nguna nitaleta mboga
Kunipenda kwa bidii kwetu suna nishushie na soda
Moyo wangu mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu nateseka sana nnaempenda akinidharau
Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu, ndio nasisitiza usije na wewe...
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama (bailando)
Usiseme "I love you" then you lie
Usiseme "I love you" then you lie
Usiseme "I love you" then you lie
Usiseme "I love you" then you lie
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Kamili gado
Credits
Writer(s): Miri Ben-ari, Nasibu Abdul Juma Issaack
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.