Testo Aló - ALIKIBA
Testo della canzone Aló (ALIKIBA), tratta dall'album Aló - Single
Yeah
(Mocco)
It's your love that turns me on
Mashallah uko so natural
Wewe na me we pacha na me
Inadunda roho
Nikifikiria kuachwa nguvu sina
Napona si Malaria si Corona
Sijui kwanini nikikuona
Hata magonjwa yanagoma kuja tena
Napona nikihisi na homa
Nikikuona
Hata maradhi yanagoma kuja, ah
Mi' sioni sio kwamba sina macho
Bali nakuona wewe
Sikio sio kwamba sisikii nasikia
Moyo ungekua na kioo ujionee mwenyewe
Mwenzio, oh, nakuwaza nikilala nikisinzia
Aló, nakuita my love
Aló, nakuita my love
Aló, nakuita my love
Aló, nakuita my love
Love is in the air
We do it everywhere
When I look into your eyes
Najiona mimi
Wakituona wanadata
Tena wanataka kinoma, kinoma
Penzi limetakataka tumejipata
Si unaona, si unaona
Mi' sioni sio kwamba sina macho
Bali nakuona wewe
Sikio, sio kwamba sisikii nasikia
Moyo, oh, ungekua na kioo ujionee mwenyewe
Mwenzio, oh, nakuwaza nikilala nikisinzia
Aló, nakuita my love
Aló, nakuita my love
Aló, nakuita my love
Aló, nakuita my love
(The Mix Killer)
Credits
Writer(s): Themixkiller
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.