Rockol30

Testo Acha Lizame - Nandy feat. Harmonize

Testo della canzone Acha Lizame (Nandy feat. Harmonize), tratta dall'album Acha Lizame (feat. Harmonize) - Single

Yao Yao jeshi
Ooi boy boy
Konde boyi
Maembe suru chuku chuku ni sasamole
Mi naning'inia kwa marati nipopoe
(On the beat)
Kiduchu nipe tena baba nijue
Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe
Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu
Usikize watu wananyongwa mbaya
Basi nifanye kitu na boxy (lazizi wee)
Usiku nipe shoti (lazizi wee)
Ama nishike magoti (lazizi wee)
Nilemshe mkombozi (lazizi wee)
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oooh ah
Ukienda zako mi nitanyong'onyea
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oh ah
Ukienda zako nitanyong'onyea
Acha lizame!
Baby unapenda vya giza giza kama ujainizoea
Acha jua lizame!
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame!
Unapenda vya giza giza kama hujanzoea
Acha lizame...
Mama unafanya tembo
Kutwa nadindinsha mkonga
We ndo kiboko ya warembo
Wale wanaojipitisha vitonga
Penye dhiki ni shuruba
Mikeko ndo ulinikumbata
Piki piki upande uber
Popote nilipo ukanifwata
Mimi bado wananiita mzugaji (Nilingojea)
Sikidhi hata yako mahitaji (Nilingojea)
Sina biashara mtaji (Nilingojea)
Ulisema Mola ndo mpaji (nilingojea)
Ooooh maana nipande tumwage mbolea
Baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tutaendelea
Oh oh ooh
Shamba mwaga maji nimwage mbolea
My baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tuataendelea
Acha lizame!
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame!
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame!
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Acha jua lizame ...
Whine nikuuliza
Bora ningejitengeneza oh nah nah
Oii boy boy, oooii boy boy
Yeah yeah yeah yeah
Oii boy boy
The African princess
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Maana raha yakuingiza ujue inapotokea
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Asa whine nimecool na bora ningejitengea
Konde boy!



Credits
Writer(s): Faustina Mfinanga, Rajab Kahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.