Testo Nitongoze - Rayvanny feat. Diamond Platnumz
Testo della canzone Nitongoze (Rayvanny feat. Diamond Platnumz), tratta dall'album The Big One
Weka shida chini glass juu
Tujipongeze usijali wanafki wambea
Chapa mziki wote tucheze
Enh Vanny Boy (Chui)
Eh Platnumz
(S2kizzy baby)
Ah maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?)
Hiyo shingapi, hii shingapi, hauna hela nini (Eeti!?)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eeti!?)
Ile shingapi, hili shingapi, hauna hela nini
Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali
Ati unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Oh-za Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
E bwana wee!
Hela ya kooodi nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi usikonde
Akiringa akwende, chukua mwingine, sio kinyonge
Osh yu kwapii?
Enh yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapii?
Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapii?
Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Yu kwapii?
Yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
Nimeachwa staki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali
Ati unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
E bwana wee!
(S2kizzy baby)
Zombiieee
Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer ash tuone boxer aosh
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Credits
Writer(s): Naseeb Abdul Juma, Raymond Shaban Mwakyusa, Salmin Kasimu Maengo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Disclaimer:
i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare
direttamente Musixmatch nel caso tu sia
un artista o
un publisher.