Rockol30

Testo Nasema Nawe - Diamond

Testo della canzone Nasema Nawe (Diamond), tratta dall'album Nasema Nawe (Remix)

Wasafi!
Halloooo hmmm
Aah, kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka
Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa
Kwa kuwa umemuona fulani ona usoo ulivyokukoboka
Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro
Uso mchana jioni si wajuzi si tomorrow
Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro
Uso mchana jioni si wajuz si aaaah!
Nasema naweee (nasema nawee)
Nasema naweee (nasema naweee)
Nasema naweee
Uso haya nasema nawe
Umezoea (nasema nawe)
Chezea chezea (nasema nawe)
Aaah!! Umezidi (nasema nawe)
Zidi (nasema nawe)
Zidi (nimechoka nasema naweee)
Mmmmmhhh, mmmh
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa
Usio hiana fedhuri uongo umekuja
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu makarata
Lile hodari maguvu si kwasakwasa
Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa
Aaahhh!!
Nasema naweee (mbona wewe
Nasema naweee (nawe nawe oh)
Nasema naweee
Uso haya nasema naweee
Nasema naweee
Nasema naweee (naweee)
Nasema naweee (ah-aaah)
Nimechoka nasema nawee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
Uso haya nasema naweee (ooohhh, nasema naweee)
Nasema nawee
Nasema nawee (nawew oh)
Nasema nawee
Nimechoka nasema nawee
Wewe, umejifunza ngumi unataka upigane na Tyson haa!
(Ale, kata, a-ha kata)
(Kati kasi kata)
Oh, n'teteme n'teteme (kata)
Wenye kusema waseme (kata)
(Ale kata, a-ha kata)
(Kati kasi kata)
Kiuno chako mwenyewe (kata)
Mola amekupa wewe (kata)
Tena jangiri kilani (kata)
Nipe vya bara na pwani (kata)
Vile vya nje na ndani (kata)
Tumkomeshe fulani (kata)
Tena jangiri kilani (kata)
Nipe vya bara na pwani (kata)
Vya nje na ndani (kata)
Akome fulani mmmh
Tomasi!
Nasema naweee (mbona wewe)
Nasema naweee (nawe nawe oh)
Nasema naweee
Uso haya nasema naweee
Nasema naweee
Nasema naweee (naweee)
Nasema naweee (ah-aaah)
Nimechoka nasema nawee
Umezoea (nasema naweee)
Chezea chezea (nasema nawee)
Aaah!! Umezidi (nasema naweee)
Zidi (nasema naweeee)
Uso haya nasema naweee (ooohhh, nasema naweee)
Nasema nawee
Nasema nawee (nawew oh)
Nasema nawee
Nimechoka nasema nawee
(Katika-si kata)
(Katika-si kata)
(Katika-si kata)
(Katika-si kata)



Credits
Writer(s): Diamond Platnumz, Khadija Kopa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

APPROFONDISCI:   

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.