Rockol30

Testo Bado - Harmonize

Testo della canzone Bado (Harmonize), tratta dall'album Bado (feat. Diamond Platnumz) - Single

Wasafii records!
Aaah mmmh!
Kutwa kidomo wazi, nikifuta na machozi
Huku namuomba Mola unitoke moyoni
Ila ndo siwezi, nakesha ka mlinzi
Maana hata nkilala unaniijia ndotoni (bado)
Asante kwa kuniumiza
Nimejifunza mengi, mwanzo sikuyajua
Katu, naapa kutolipiza
Ila mwambie mapenzi abaki kuyasikia, eeeh
Nakumbuka maneno yako
Hutonikimbia, utabaki nami
Tena ukala na viapo, Taurat, Bibilia
Leo sikuoni ila mwenzako bado
Mwambie bado
(Bado bado, sijapona)
Ila mwenzako bado
Mmh bado
(Bado bado, sijapona)
Misijapona roho
Aa-ah Mola nishike mkono Baba Muumba
Haya ninayoyaona, simanzi
Ah, yaani bora jicho mchanga ningefumba
Huenda ningeshapona, maradhi
Oh maumivu yangu, hayawezi kupona kwa vidonge
Sababu panaponichoma, nikipapasa sipaoni
Kweli peke yangu, umeniacha na unyonge
Kabisa wakanipokonya tonge langu mdomoni
Ona, nakumbuka maneno yako
Hutonikimbia, utabaki nami
Oh, mi ndo mwili, mi roho yako
Yaani umetimia, mbona sikuoni
Ila mwenzako mimi
(Bado bado, bado bado)
Mmh, nambie
(Bado bado, sijapona)
Ila mwenzako bado
(Bado bado, bado bado)
Mmh bado
(Bado bado, sijapona)
Ile roho yangu mama (ibebe)
Inandondoka (ibebe)
Iokote mama (ibebe)
(Chaukucha nsije zima)
Uh roho yangu (ibebe)
Inandondoka (ibebe)
Njoo unshike mama (ibebe)
(Chaukucha nsije zima)
Ah aah, ai wewe (ibebe)
Watanizika mama (ibebe)
Mwenzio taabani (ibebe)
(Chaukucha nsije zima)
Masikini pendo langu (ibebe)
Linandondoka (ibebe)
Niokote mama (ibebe)
(Chaukucha nsije zima)
Ibebe, ibebe
Ibebe, Chaukucha nsije zima
Ibebe, ibebe
Ibebe, Chaukucha nsije zima
Translate to English



Credits
Writer(s): Nasibu Issaack, Frank Mshumbusi, Rajabu Kahali, Siraju Amani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link

Disclaimer: i testi sono forniti da Musixmatch.
Per richieste di variazioni o rimozioni è possibile contattare direttamente Musixmatch nel caso tu sia un artista o un publisher.

Elenco artisti

© 2025 Riproduzione riservata. Rockol.com S.r.l.
Policy uso immagini

Rockol

  • Utilizza solo immagini e fotografie rese disponibili a fini promozionali (“for press use”) da case discografiche, agenti di artisti e uffici stampa.
  • Usa le immagini per finalità di critica ed esercizio del diritto di cronaca, in modalità degradata conforme alle prescrizioni della legge sul diritto d'autore, utilizzate ad esclusivo corredo dei propri contenuti informativi.
  • Accetta solo fotografie non esclusive, destinate a utilizzo su testate e, in generale, quelle libere da diritti.
  • Pubblica immagini fotografiche dal vivo concesse in utilizzo da fotografi dei quali viene riportato il copyright.
  • È disponibile a corrispondere all'avente diritto un equo compenso in caso di pubblicazione di fotografie il cui autore sia, all'atto della pubblicazione, ignoto.

Segnalazioni

Vogliate segnalarci immediatamente la eventuali presenza di immagini non rientranti nelle fattispecie di cui sopra, per una nostra rapida valutazione e, ove confermato l’improprio utilizzo, per una immediata rimozione.